Tag: serikali
APHFTA wagoma kutoa huduma kwa kitita kipya cha NHIF
Baada ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kutangaza kuanza matumizi ya kitita kipya cha mafao kitakachoanza Machi Mosi, 2024, ...Muhimbili kuzindua benki ya kuhifadhi mbegu za uzazi
Wizara ya Afya imesema Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imeanza huduma ya kuhifadhi mbegu za uzazi ambapo hivi karibuni Rais Samia Suluhu ...Mkuu wa Kitengo cha Fedha Serengeti akamatwa madai ya wizi wa milioni 213
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara, ACP Salum Morcase amkamate Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Uhasibu ...Bodaboda Tanga wachoma basi la Saibaba lililomgonga mwenzao
Basi la Kampuni ya Saibaba Express lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea mkoani Arusha limechomwa moto na kundi la bodaboda katika Kata ...Dkt. Mpango: Serikali inatarajia kupokea ndege mpya mbili
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema hivi karibuni Serikali inatarajia kupokea ndege mpya mbili aina ya Boeing 737 9 max na ...Serikali yaiagiza TAA kuvunja mkataba wa ujenzi wa uwanja wa ndege Songea
Serikali imeiagiza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kuvunja mkataba na mkandarasi anayejenga jengo la abiria la kiwanja cha ndege cha ...