Tag: serikali
Dkt. Mollel: Serikali inalifanyia kazi suala la sheria kuruhusu utoaji mimba
Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa, matatizo yatokanayo na utoaji mimba ni moja ya sababu inayochangia vifo ...Kenya: Uchumi mbaya wapelekea baa kubuni mbinu mpya ili vinywaji vinunuliwe
Kutokana na hali ngumu ya kiuchumi nchini Kenya, wamiliki wa baadhi ya baa wamebuni mbinu mpya za kugawa karanga za bure, njugu ...Zanzibar yapiga marufuku wamasai kutembea na silaha
Serikali ya Zanzibar imepiga marufuku wamasi kutembea na silaha za jadi mitaani kwa kile ilchosema kuwa ni kuhatarisha maisha ya watu na ...Rais Samia aalikwa Vatican na Papa Francis
Rais Samia Suluhu anatarajiwa kufanya ziara ya kitaifa Vatican nchini Italia kuanzia Februari 11 hadi 12 mwaka huu kufuatia mwaliko wa Kiongozi ...Tanzania yapeleka madaktari bingwa wa moyo Zambia
Serikali imetuma madaktari bingwa 12 kwenda nchini Zambia kutoa huduma za kibingwa za matibabu ya moyo kwa watoto ikiwa ni sehemu ya ...Wasifu mfupi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi
Dkt. Emmanuel Nchimbi alizaliwa Desemba 24, 1971 mkoani Mbeya. Elimu yake ya Msingi aliianzia jijini Dar es Salaam katika Shule ya Msingi ...