Tag: sheria
Rais: Abiria toeni taarifa mkiona ukiukwaji wa sheria barabarani
Rais Samia Suluhu amelielekeza Jeshi la Polisi kuhakikisha madereva wanaongeza umakini na kuzingatia sheria za barabarani hasa kipindi hiki cha mwisho wa ...Nchi 10 za Afrika zenye mifumo bora ya sheria
Lengo la 16 la Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa (SDG 16) ni lengo ambalo ni muhimu sana kwa nchi ...Sheria tatu kurekebishwa kuelekea uchaguzi mwaka 2024 na 2025
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amesema jitihada mbalimbali zimekuwa zikifanyika katika kuhakikisha katiba mpya inapatikana lakini Rais Samia ...Bunge lapitisha marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari
Bunge la Tanzania leo limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari sura ya 229 ambapo kifungu cha ...Marekani imefuta Visa ya Spika wa Bunge la Uganda kisa Sheria ya Kupinga Ushoga
Marekani imefutilia mbali visa ya Spika wa Bunge la Uganda, Anita Among huku mbunge, Asuman Basalirwa akisema yeye ndiye mwathirika wa kwanza ...Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yaanza kutumika nchini
Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ametangaza kuwa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya mwaka 2023 iliyosainiwa ...