Tag: Shinyanga
Mtoto afariki akidaiwa kupigwa na bibi yake Shinyanga
Mtoto Sofia Ndoni (3) amefariki dunia kwa madai ya kushambuliwa kwa kipigo kwenye sehemu mbalimbali za mwili wake kwa fimbo na mpira ...Rais Samia aagiza kuongezwa jitihada za kuokoa waliofunikwa mgodini Shinyanga
Rais Samia Suluhu Hassan ameielekeza Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na vyombo vya Usalama kupeleka misaada ya haraka na kuongeza jitihada za ...Wawili wapoteza maisha kwenye ajali akiwemo diwani Shinyanga
Watu wawili wamefariki na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha bajaji na gari lenye namba za usajili T 5677 DFA aina ya ...Serikali yapiga marufuku ‘mabonanza’ Shinyanga
Serikali wilayani Shinyanga imepiga marufuku michezo ya kubahatisha maarufu kama (Mabonanza) na kuagiza jeshi la jadi (Sungusungu) kufanya msako ili kukamata mashine ...Wazazi wawaogesha watoto kwa dawa za mvuto wa mapenzi ili waolewe
Baadhi ya wazazi katika Kata ya Ilola, wilayani Shinyanga wamedaiwa kuwaogesha watoto wao wa kike dawa za mvuto wa mapenzi ili wapate ...Wananchi wachoma moto nyumba ya mwenyekiti kwa madai anawaonea
Wananchi wa Kitongoji namba 2, Kata ya Mwakitolyo Wilaya ya Shinyanga wamechoma nyumba ya Mwenyekiti wa kitongoji hicho, Shabani Zoro na kuvunja ...








