Tag: Shirika la Afya Duniani
WHO: Sababu kuu mbili za Afrika kuepuka athari kubwa za corona
Mei 25, 2020 wakati wa maadhimisho ya Siku ya Afrika, ambapo ilitimia miaka 57 tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Afrika (AU), Shirika ...Utafiti: WHO yasema hydroxychloroquine inaongeza vifo kwa wagonjwa vya Covid-19
Wakati dunia ikiendelea na majaribio ya dawa mbalimbali kwa ajili ya kukabiliana na janga la corona, Shirika la Afya Duniani (WHO) limesitisha ...Tanzania yalitaarifu Shirika la Afya Duniani kuhusu kupungua kwa wagonjwa wa Covid-19
Tanzania imelieleza Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu mafanikio iliyoyapata kutokana na hatua ilizochukua kukabiliana na virusi vya corona, ikiwa ni pamoja ...Shirika la Afya Duniani kuifanyia majaribio dawa ya corona ya Madagascar
Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina amesema kuwa Shirika la Afya Duniani (WHO) limekubali kuifanyia majaribio ya binadamu dawa inayoripotiwa kutibu corona inayozalishwa ...Virusi vya corona huenda visiishe kabisa, WHO imetahadharisha
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa virusi vya corona huenda visiishe kabisa, huku likitoa tahadhari dhidi ya wanaojaribu kueleza lini virusi ...Corona: Marekani yasitisha ufadhili kwa Shirika la Afya Duniani (WHO)
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa amewaagiza maafisa wa serikali kusitisha ufadhili wa nchi hiyo kwa Shirika la Afya Duniani (WHO). ...