Tag: siku nne
Waziri atoa siku nne huduma ya Mwendokasi irejee kote
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Profesa Riziki Shemdoe ametoa muda siku nne huduma ya mabasi ya mwendokasi irejee ...Mahakama yawatoza faini ya laki 3 waliomteka mwanamke kwa siku nne
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imewahukumu wanaume sita kulipa faini ya shilingi 300,000 au kwenda jela miaka mitatu kila ...Kenya yauza mirungi ya TZS bilioni 4 Somalia ndani ya siku nne
Kenya imeuza mirungi yenye thamani ya TZS bilioni 4.3 nchini Somalia ndani ya siku nne tangu kurejeshwa kwa soko hilo. Mpaka sasa ...





