Tag: Simba
Simba yapigwa faini mchezo dhidi ya Yanga
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) imeitoza faini ya TZS milioni 1 Simba SC kwa ...Simba SC: Dabi iko pale pale
Klabu ya Simba imewataarifu wanachama na wapenzi wa mpira wa miguu kuwa mchezo namba 184 dhidi ya Yanga SC uliopangwa kufanyika Juni ...Waziri aagiza Simba iandikiwe barua viti vilivyong’olewa vilipwe
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwaandikia barua Simba SC juu ya ...Simba, Yanga zaikosa Kagame Cup kwa mara ya kwanza
Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame) 2024 yanayoshirikisha timu 12 yamefunguliwa leo nchini Tanzania bila uwepo wa ...Yanga yapanda viwango vya ubora Afrika, Simba yaporomoka
Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba ...Wachezaji wa Simba, Yanga na Singida hatarini kuzuiliwa Ngao ya Jamii
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema mpaka sasa ni Azam FC pekee iliyowasilisha vibali 10 vya wachezaji wa kigeni ambao ...








