Tag: Simba na Yanga
Dabi ya Simba na Yanga kuchezwa Septemba 16
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema mashindano ya Ngao ya Jamii yatahusisha mechi moja ya Yanga na Simba itakayochezwa Septemba ...Mbunge: Serikali inachukua mgawanyo mkubwa wa viingilio uwanjani
Mbunge wa Iramba Mashariki, Francis Mtinga ameiomba Serikali kupitia upya mgawanyo wa mapato ya viingilio yanayopatikana uwanjani katika timu za mpira nchini ...Waziri Mkuu amwalika Rais wa CAF mechi ya Simba na Yanga
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemuomba Rais wa CAF, Patrice Motsepe na wanachama wa CAF kuhudhuria katika mechi ya watani wa jadi, Simba ...Simba: Tulichopoteza Moshi ni kidogo ukilinganisha na Kombe la Shirikisho
Simba Sport Club imesema kuwa walichokipoteza dhidi ya Polisi Tanzania ni kidogo kulinganisha na kikubwa ambacho wanapaswa kukipigania katika mechi ijayo ya ...Yanga yazungumzia usajili wa Clatous Chama
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Young Africa SC, Senzo Mbatha amesema klabu hiyo haiwezi kuzungumzia tetesi zinazoenea mitandaoni kwamba wanataka kumsajili aliyekuwa kiungo ...Rekodi kubwa 8 za Yanga katika soka la Tanzania
Kama wewe ni shabiki wa soka nchini Tanzania basi huenda unajua kuwa leo ni siku ya kiama ambapo mahasimu wakubwa wa Soka ...








