Tag: sudan
Jeshi la Sudan linakaribia kudhibiti Ikulu
Televisheni ya taifa ya Sudan imeripoti kuwa Jeshi la Sudan liko karibu kuchukua udhibiti wa Ikulu ya Rais mjini Khartoum kutoka kwa ...Sudan yaishitaki UAE Mahakama ya Haki kwa kufadhili wanamgambo wa RSF
Sudan imeishitaki Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kwa madai kuwa inaunga mkono wanamgambo wa ...Mkuu wa Jeshi Sudan afungia akaunti za benki za jeshi la akiba (RSF)
Mkuu wa Jeshi la Sudan, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan ametoa agizo la kuzifungia akaunti zote za benki za jeshi la akiba (Rapid ...Sudan: Vikosi vyakubaliana kusitisha mapigano kwa siku tatu
Makubaliano ya kusitisha vita kwa saa 72 yaliyosimamiwa na Marekani kati ya majenerali wanaopigana nchini Sudan yameanza rasmi Jumanne baada ya mapigano ...Sudan: Takribani watu 100 wauawa katika mapigano
Mapigano makali yameendelea kwa siku ya tatu sasa na idadi ya waliofariki ikikaribia 100 huku mamia ya wananchi wakijeruhiwa katika mji mkuu ...Sudan: Msichana ahukumiwa jela kwa kosa la kumbusu mwanaume
Msichana mmoja (20) nchini Sudan aliyehukumiwa adhabu ya kifo kwa kupigwa mawe baada ya kutiwa hatiani kwa uzinzi amebadilishiwa hukumu, na badala ...