Tag: Taarifa
Jeshi la Polisi latoa taarifa ya hali ya amani nchini
Jeshi la Polisi nchini limesema hadi sasa hali ya kiusalama ni shwari na shughuli za kiuchumi na za kijamii zinaendelea vizuri katika ...Polisi: Kuna kikundi cha watu kinaandaa taarifa za upotoshaji mtandaoni
Jeshi la Polisi limetahadharisha kuwa kuna kikundi cha watu ambao wanaandaa picha mjongeo na taarifa mbalimbali za matukio yaliyotokea siku za nyuma ...Rais: Abiria toeni taarifa mkiona ukiukwaji wa sheria barabarani
Rais Samia Suluhu amelielekeza Jeshi la Polisi kuhakikisha madereva wanaongeza umakini na kuzingatia sheria za barabarani hasa kipindi hiki cha mwisho wa ...Wanne wakamatwa kwa kusambaza taarifa za watoto kutekwa
Jeshi la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kurekodi na kusambaza taarifa za uongo kwenye mitandao ya kijamii kuhusu ...Dkt. Mwigulu akanusha taarifa ya Tanzania kufilisika
SWaziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amekanusha taarifa inayosambaa mitandaoni ikieleza kwamba serikali imefilisika kiasi cha kushindwa kulipa madeni kadhaa yalliyosababisha kusuasua ...Polisi: Tunawasaka waliozusha taarifa za mauaji ya raia wa Kihindi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya jamii kuwa kuna raia watatu wenye asili ...








