Tag: Taarifa
Rais: Abiria toeni taarifa mkiona ukiukwaji wa sheria barabarani
Rais Samia Suluhu amelielekeza Jeshi la Polisi kuhakikisha madereva wanaongeza umakini na kuzingatia sheria za barabarani hasa kipindi hiki cha mwisho wa ...Wanne wakamatwa kwa kusambaza taarifa za watoto kutekwa
Jeshi la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kurekodi na kusambaza taarifa za uongo kwenye mitandao ya kijamii kuhusu ...Dkt. Mwigulu akanusha taarifa ya Tanzania kufilisika
SWaziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amekanusha taarifa inayosambaa mitandaoni ikieleza kwamba serikali imefilisika kiasi cha kushindwa kulipa madeni kadhaa yalliyosababisha kusuasua ...Polisi: Tunawasaka waliozusha taarifa za mauaji ya raia wa Kihindi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya jamii kuwa kuna raia watatu wenye asili ...Taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa Red Eyes
Wizara ya afya imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa macho mekundu (Red eyes) Maambukizi ya Kirusi kwenye ngozi ya juu ya ...TCRA yavionya vyombo vya habari kuhusu taarifa za kidini za kufikirika
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekemea vikali taarifa za kufikirika na zenye utata kuhusu imani za kidini ambazo zinaendelea kushamiri kwenye vyombo ...