Tag: TANESCO
TANESCO: Kukosekana kwa umeme katika mikoa 14
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kukosekana kwa huduma ya umeme katika baadhi ya mikoa 14 nchi nzima kutokana na hitilafu iliyotokea ...Mikoa 11 itakayokosa umeme kwa saa 12 Jumatatu
Mikoa 11 ya Tanzania itakosa umeme kwa saa 12 Novemba 15 mwaka huu kutokana na matengenezo yanayofanywa na Shirika la Umeme Tanzania ...Rais Samia aifumua TANESCO, atumbua na kuteua wapya
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi kama ifuatavyo:- Amemteua Omari Issa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TANESCO. Kabla ya ...





