Tag: Tanga
Mwalimu ajinyonga Tanga chanzo chadaiwa wivu wa mapenzi
Mwalimu Enock Johnson Peter (32) wa Shule ya Msingi Potwe wilaya ya Muheza mkoani Tanga amefariki dunia nyumbani kwake baada ya kukutwa ...Miili ya watu wanne yaokotwa Handeni, Tanga
Jeshi la Polisi mkoani Tanga limesema limeokota miili ya watu wanne wakiwemo wanaume watatu na mwanamke mmoja katika maeneo tofauti ya Wilaya ...Kamati ya Ushauri Tanga yaidhinisha mapendekezo ya kugawa majimbo ya uchaguzi
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mwaka huu, Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Tanga (RCC) imeidhinisha mapendekezo ya kugawa majimbo matatu ya ...Rais: Tumeanza kuifufua bandari ya Tanga ili vijana wapate ajira
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeanza kuuifufua bandari ya Tanga ili kuongeza uzalishaji wa ajira kwa vijana hususan kwa wakazi wa ...Jeshi la Polisi lazuia mkutano wa Lissu Tanga
Jeshi la Polisi Wilaya ya Tanga limezuia mkutano wa hadhara uliotarajiwa kufanyika Septemba 20, 2024 Tanga Mjini ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu ...Polisi: Tunawasaka bodaboda waliochoma basi Tanga
Jeshi la Polisi limesema linaendelea kuwasaka waendesha pikipiki maarufu bodaboda waliohusika kuchoma basi la kampuni ya Sai Baba Express katika Kata ya ...








