Tag: Tanzania
DRC yaondoa visa kwa Tanzania
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeondoa hitajio la Visa kwa raia wa Tanzania wanaoingia nchini humo kuanzia Machi 20, mwaka ...Rais: Nitaendelea kuilea Tanzania kwa kuharakisha huduma za kijamii
Rais Samia Suluhu Hassan amewaahidi watanzania kuwa ataendelea kuwajibika kwao kwa kuilea Tanzania na kuharakisha huduma zote muhimu za kijamii kama sehemu ...Tanzania yashinda nafasi mbili Umoja wa Afrika
Tanzania imeshinda nafasi mbili zilizokuwa zikigombewa katika uchaguzi wa Taasisi za Umoja wa Afrika ambazo ni nafasi ya Mjumbe wa Tume ya ...Majina ya waliochaguliwa kujiunga Idara ya Uhamijaji
TANGAZO KUITWA KWENYE MAFUNZO FEBRUARY, 2025Tanzania na Somalia zasaini mkataba kubadilishana wafungwa
Serikali ya Tanzania na Jamhuri ya Shirikisho la Somalia zimesaini mikataba miwili ya makubaliano ya kushirikiana na katika masuala ya Ulinzi na ...