Tag: Tanzania
Rais Samia aalikwa Vatican na Papa Francis
Rais Samia Suluhu anatarajiwa kufanya ziara ya kitaifa Vatican nchini Italia kuanzia Februari 11 hadi 12 mwaka huu kufuatia mwaliko wa Kiongozi ...Malawi yaondoa zuio la mahindi kutoka Tanzania
Serikali ya Malawi imeondoa zuio la mahindi ya Tanzania kuingia nchini humo, zuio ambalo liliwekwa kwa kile walichosema kuwa ni kutokana na ...Tanzania yasitisha safari za Shirika la Ndege la Kenya
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imetangaza kusitisha vibali vya Shirika la Ndege la Kenya (KQ) kuendesha safari za abiria kati ...Wasifu mfupi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi
Dkt. Emmanuel Nchimbi alizaliwa Desemba 24, 1971 mkoani Mbeya. Elimu yake ya Msingi aliianzia jijini Dar es Salaam katika Shule ya Msingi ...CHADEMA yakubali mdahalo na Makonda, yatoa masharti
Baada ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Paul Makonda kutoa rai kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanyike ...RC Chalamila: Januari 24 wanajeshi watafanya usafi Dar es Salaam
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi kubwa la usafi katika Wilaya zote tano za mkoa ...