Tag: Tanzania
Mahakama yampa ruhusa kukusanya manii ya mume wake aliyefariki
Katika tukio la kushangaza, mwanamke mwenye umri wa miaka 62 nchini Australia ameruhusiwa kukusanya manii ya marehemu mumewe, akiwashawishi majaji kuwa wawili ...Serikali kuingiza tani 50,000 za sukari kukabiliana na upungufu uliopo
Serikali imeidhinisha kuingizwa nchini kwa tani 50,000 za sukari kama sehemu ya juhudi za kukabiliana na uhaba wa bidhaa hiyo ambayo imesababisha ...TAWA: Mtalii aliyewinda mamba alikuwa na kibali halali
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imesema uchunguzi uliofanyika umebaini mtalii aliyewinda mamba katika kitalu cha Lake Rukwa GR alikuwa na ...TRA yavunja rekodi, yakusanya trilioni 3.05 Desemba
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika kipindi cha nusu ya kwanza ya mwaka wa Fedha 2023/2024 (Julai hadi Desemba) imefanikiwa kukusanya ...DPP afuta kesi iliyokuwa ikimkabili Mbunge Gekul
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameifuta kesi iliyokuwa ikimkabili Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul baada ya Mkurugenzi ...Kiasi kikubwa cha dawa za kulevya katika historia ya Tanzania chakamatwa
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ya Tanzania (DCEA) imekamata kilogramu 3,182 za dawa za kulevya aina ya Heroin ...