Tag: Tanzania
Nchi 10 za Afrika zenye gharama kubwa ya umeme kwa mwaka 2023
Kulingana na Yahoo Finance, soko la umeme duniani kwa sasa lina thamani ya zaidi ya $1.94 trilioni [quadrilioni 4.8] na inakadiriwa kufikia ...Biteko aiagiza TANESCO kuzikatia umeme taasisi za Serikali inazozidai
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kukata umeme kwa wadaiwa wote wasiolipa ...Makala za wasomaji: TUELEZENI MMEFIKIA WAPI
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesema mpaka sasa hakuna utaratibu mpya uliotangazwa kuhusu mfumo upi hasa wenye tija utakaotumika ...Tanzania na Saudi Arabia zasaini mikataba ya ajira kwa Watanzania
Tanzania imesaini mikataba miwili na Serikali ya Saudi Arabia kwa ajili ya kuajiri Watanzania nchini humo. Mikataba hiyo imeingiwa wakati wa ziara ...Tanzania yashika nafasi ya 4 Afrika kwenye usalama wa anga
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Tanzania imeshika nafasi ya nne barani Afrika kwenye masuala ya usalama wa anga kwa kupata alama 86.7 ...Mikoa 12 yenye kiwango kikubwa cha udumavu Tanzania
Udumavu wa lishe, au utapiamlo, ni hali inayojitokeza wakati mwili wa mtu unapopata au kutumia lishe isiyo bora au duni. Sababu kuu ...