Tag: Tanzania
Chuo chawekwa chini ya uangalizi kwa kutoa programu iliyofutwa
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limekiweka katika uangalizi maalum kwa kipindi cha miaka mitatu ...Maonesho ya Mboga na Matunda Qatar kuwajengea uwezo wakulima wa Tanzania
Serikali ya Tanzania kupitia taasisi zake mbalimbali na sekta binafsi itashiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Mboga na Matunda (Doha International Horticulture ...Tanzania yatajwa kuwa nchi yenye mafanikio ya demokrasia na utawala bora
Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi barani Afrika ambazo zimepata mafanikio makubwa katika kuimarisha demokrasia na dhana ya utawala bora katika kuwatumikia ...Soma hapa msimamo ACT Wazalendo kuhusu makubaliano kati ya Tanzania na Dubai
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/09/Msimamo-wa-ACT-Wazalendo-SAKATA-LA-BANDARI-Na-Mapendekezo-1.pdf” title=”Msimamo wa ACT Wazalendo SAKATA LA BANDARI Na Mapendekezo (1)”]Tanzania, Hungary kukuza ushirikiano kwenye elimu na uwekezaji
Tanzania imetoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi kutoka nchini Hungary kusoma kwenye vyuo vikuu vya Tanzania ambapo kwa kuanzia ufadhili huo utaanza ...