Tag: Tanzania
Tanzania na Malawi zasaini makubaliano ya ushirikiano katika mawasiliano
Tanzania na Malawi zimesaini hati za makubaliano (MoU) kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano inayogusa masuala ya mawasiliano na digitali yakihusisha mambo ...Tanzania yakusanya bilioni 70 kwa ndege zinazotumia anga lake
Tanzania imekusanya zaidi ya TZS bilioni 70 kwa mwaka wa fedha 2022/23 (hadi sasa) ikiwa ni mapato yanayotokana na ndege zinazotumia anga ...Tanzania, Kenya na Uganda zawania uwenyeji AFCON 2027
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania ...Waziri asema hali ya usalama mpaka wa Tanzania na Msumbiji haitabiriki
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amesema hali ya usalama katika mpaka wa Tanzania na Msumbiji ni ya ...Waziri Mkuu: Tunazungumza na Denmark wasifunge ubalozi wao nchini
Serikali imesema kupitia Wizara ya Nje na viongozi wakuu, inafanya mazungumzo na nchi ya Denmark ili ofisi zao ziendelee kubaki nchini Tanzania ...Tanzania yaomba kuwa makao makuu Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika
Tanzania imeomba ridhaa ya kuwa makao makuu ya Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya Nne (AUSC) kwa wajumbe wa ...