Tag: Tanzania
Rais Kagame kufanya ziara nchini Aprili 27 na 28
Rais wa Rwanda, Paul Kagame anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini kuanzia Aprili 27 hadi 28, mwaka huu ambapo atakutana na kufanya ...IMF yaidhinisha mkopo wa TZS bilioni 358 kwa Tanzania
Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeridhia kuikopesha Tanzania dola 153 milioni (TZS bilioni 358.9) kwa ajili ya kusaidia ...Tanzania yashika nafasi ya 10 Afrika kwa mamilionea wengi wa dola
Tanzania imeshuka katika idadi ya mamilionea wa dola hadi nafasi ya 10 kutoka nafasi ya saba mwaka 2022, kulingana na ripoti ya ...Wajue Marais wa Marekani waliowahi kuitembelea Tanzania kikazi
Tanzania inajiandaa kupokea ugeni mkubwa wa Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris ambaye anatarajiwa kuwasili nchini Machi 29 katika ziara ya ...Afrika Kusini kununua umeme kutoka Tanzania
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema Afrika Kusini inafikiria kununua umeme kutoka nchini Tanzania ili kusaidia katika kutatua tatizo la nishati ...Rais Samia: Tanzania iko tayari kutoa michango zaidi katika ulinzi wa amani duniani
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imechangia askari 1,489 katika misheni 16 za ulinzi wa amani duniani na kwamba iko tayari kutoa ...