Tag: Tanzania
Tanzania kutokomeza VVU/UKIMWI ifikapo 2030
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza TACAIDS na Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau wote wa mapambano dhidi ya Virusi vya ...Tanzania kuvuna 75% ya mapato ya mafuta na gesi asilia
Baada ya miaka 12, leo Serikali ya Tanzania imesaini mkataba wa uzalishaji na ugawanaji mapato (PSA) kitalu cha Ruvuma (chenye leseni mbili, ...Elon Musk asubiri kibali cha TCRA kuwekeza nchini
Tovuti ya Starlink inayomilikiwa na mfanyabiashara ambaye pia ni mmiliki wa mtandao wa Twitter, Elon Musk imetangaza mpango wa kuleta huduma ya ...Tanzania yatoa maelekezo kwa Mabalozi wanaoiwakilisha nchi
Wawakilishi wa Tanzania katika nchi mbalimbali duniani wameelekezwa kuanzisha, kushawishi na kufuatilia mikataba yenye manufaa katika nchi zao za uwakilishi badala ya ...Mwigulu: Tanzania bado ipo uchumi wa kati
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amekanusha takwimu zilizotolewa na Mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo zilizoonesha ...Fiyao: Uchumi wa Tanzania unakua kwenye makaratasi au mifukoni?
Mbunge wa Viti Maalum, Stella Fiyao ameitaka Serikali kuwafafanulia Watanzania wanamaanisha nini wanaposema kwamba uchumi wa Tanzania umekua kwa sababu hali mitaani ...