Tag: Tanzania
Wananchi watahadharishwa kufuatilia maji wanayotumia kuepuka magonjwa
Meneja wa Maabara Kuu ya Ubora wa Maji Dar es Salaam, Hashim Kabelwa amewasihi wananchi katika maeneo mbalimbali kuwa makini na kuzingatia ...Polisi: Madai yaliyotolewa na Godlisten Malisa ni ya uongo
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limekanusha madai ya mama mzazi wa mwanaharakati, Godlisten Malisa kuwekwa chini ya ulinzi. Polisi wamesema askari ...Serikali: Tanzania na Marekani zitaendeleza mazungumzo kuhusu udhibiti wa viza
Serikali imesema itaendeleza mazungumzo ya kidiplomasia na Serikali ya Marekani yanayolenga kupata muafaka kuhusu uamuzi wa kuiweka Tanzania katika kundi la nchi ...Tanzania yatangaza ufadhili wa masomo ya Shahada ya Uzamili nchini Sweden
Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umetangaza fursa za ufadhili kamili wa masomo ya Shahada ya Uzamili unaotolewa na Taasisi ya Sweden (Swedish ...UN yaipongeza Tanzania kwa amani, yashauri mazungumzo vurugu za Oktoba 29
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres amesema Tanzania imekuwa mfano muhimu ya amani na mshikamano wa kijamii barani Afrika na ...Mabalozi waeleza dhamira ya kuimarisha ushirikiano na Tanzania
Mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali na taasisi za kimataifa nchini Tanzania wamethibitisha kwa pamoja dhamira yao ya kuendeleza na kuimarisha ushirikiano na Serikali ...








