Tag: Tanzania
Tanzania mbioni kuunda na kurusha satelaiti yake
Serikali imesema katika mwaka huu wa fedha 2022/2023, Tanzania imeanza kuandaa utaratibu wa awali utakaowezesha kuunda na kurusha satelaiti yake angani. Aidha, ...Matokeo Sensa: Watu milioni 16.8 waongezeka ndani ya miaka 10
Rais Samia Suluhu Hassan amesema jumla ya idadi ya Watanzania ni 61,741,120 huku wanawake wakiongoza kwa idadi ya watu 31,687,990 sawa na ...Tanzania ya pili Afrika utoaji chanjo ya UVIKO-19
Tanzania imeshika nafasi ya 2 kwa kiwango cha juu cha uchanjaji wa chanjo ya UVIKO-19 huku ikiwa imefikia asilimia 37.9 ya uchanjaji ...Umoja wa Ulaya waipa Tanzania msaada wa bilioni 380
Tanzania imepokea msaada wa Euro milioni 166 (sawa na takribani TZS bilioni 380) kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kwa ajili ya utekelezaji ...Tanzania yapata mkopo wa bilioni 310 kutoka Korea
Tanzania imepata mkopo wa gharama nafuu wa TZS bilioni 310 kutoka Serikali ya Jamhuri ya Korea kwa ajili ya upanuzi wa mfumo ...Benki ya Dunia yaipa Tanzania trilioni 4.9
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameishukuru Benki ya Dunia kwa kuitengea Tanzania jumla ya dola za Marekani bilioni 2.1 ...