Tag: Tanzania
Serikali yasema hakuna Homa ya Nyani nchini
Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Aifello Sichalwe amewatoa hofu Watanzania juu ya taarifa za uwepo wa Ugonjwa wa Homa ya Nyani katika ...Maeneo 7 ya ushirikiano yaliyoridhiwa kati ya Tanzania na Zambia
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema aliyewasili nchini leo kwa ajili ya ziara ya kikazi inayolenga ...China yabadili masharti ya visa kwa wasafiri wa Tanzania
Serikali ya China kupitia ubalozi wake nchini Tanzania imefungua utoaji wa visa za kuingia nchini China kwa Watanzania kuanzia Julai 11 mwaka ...Viwanja vya ndege Tanzania kufanya kazi saa 24
Mkurugenzi Mkuu mpya wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mussa Mbura, ameahidi kuzingatia masuala mahususi katika kipindi chake ikiwa ni ...IMF kuikopesha Tanzania trilioni 2.4
Bodi ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeridhia mkopo wa Dola za Marekani bilioni 1.046 (sawa na zaidi ya TZS trilioni 2.4) ...Tanzania yashika nafasi ya 5 uvutaji bangi nyingi Afrika
Ripoti ya hivi karibuni kuhusu matumizi ya tumbaku iliyofanywa na kikundi cha kampeni ya afya ya umma na wasomi wa Marekani imegundua ...