Tag: Tanzania
Tanzania kushika nafasi ya Ukurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika
Tanzania inatarajia kushika nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji mbadala (Alternative Executive Director) katika Kundi la Magavana wa Afrika Mashariki katika Benki ya Maendeleo ...Baadhi ya shughuli zakwamishwa na kukosekana kwa mtandao Afrika Mashariki
Nchi kadhaa za Afrika Mashariki ikiwemo Kenya, Rwanda, Uganda na Tanzania zimekumbwa na kuzorota kwa huduma za mtandao baada ya kubainika kuwa ...Hati Fungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London 🇬🇧
Benki ya NMB imetanua wigo wa kushiriki katika masoko ya mitaji kimataifa kwa kuiorodhesha Hati fungani ya NMB Jamii (NMB Jamii Bond) ...BASATA yatangaza kuwataja wasanii ambao hawana vibali baada ya siku saba
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa siku saba kwa wasanii kufanya usajili na kuhuisha vibali vyao huku likieleza kuwa watakokwenda kinyume ...Tanzania yapokea mkopo wa bilioni 517 za uboreshaji reli ya kati
Tanzania imepata mkopo wa dola za Marekani milioni 200 (takriban bilioni 517) kutoka Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Benki ya Dunia ...