Tag: Tanzania
Hungary yatangaza kufungua tena ofisi zake Tanzania
Serikali ya Hungary imetangaza dhamira ya kufungua tena Ubalozi wake hapa nchini tangu ilipoufunga mwaka 2000 ili kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano ...Tanzania yapokea trilioni 1.4 kukabiliana na Malaria, TB na UKIMWI
Serikali imepokea Dola za Kimarekani milioni 602, sawa na trilioni 1.4 za Kitanzania kwa ajili ya kukabiliana na magonjwa ya Malaria, Kifua ...Mume adaiwa kumuua aliyekuwa mkewe, kisha ajinyonga kisa mali
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limethibitisha kutokea kifo cha Doto Hamisi Magambazi (30) mkazi wa Mjimwema Kiluvya mkoani humo aliyefariki dunia ...Waziri Mkenda asema wamedhibiti wizi wa mitihani ndani ya NECTA
Serikali imesema imefanikiwa kuondoa changamoto ya wizi wa mitihani iliyokuwa inaanzia ndani ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA). Hayo yamesemwa na ...Angola: 50 wafariki kwa kunyweshwa mitishamba ili kujua kama ni wachawi
Watu zaidi ya 50 wamefariki nchini Angola baada ya kulazimishwa kunywa dawa ya mitishamba ili kuthibitisha kwamba hawakuwa wachawi. Msemaji wa polisi, ...