Tag: Tanzania
Mume adaiwa kumuua aliyekuwa mkewe, kisha ajinyonga kisa mali
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limethibitisha kutokea kifo cha Doto Hamisi Magambazi (30) mkazi wa Mjimwema Kiluvya mkoani humo aliyefariki dunia ...Waziri Mkenda asema wamedhibiti wizi wa mitihani ndani ya NECTA
Serikali imesema imefanikiwa kuondoa changamoto ya wizi wa mitihani iliyokuwa inaanzia ndani ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA). Hayo yamesemwa na ...Angola: 50 wafariki kwa kunyweshwa mitishamba ili kujua kama ni wachawi
Watu zaidi ya 50 wamefariki nchini Angola baada ya kulazimishwa kunywa dawa ya mitishamba ili kuthibitisha kwamba hawakuwa wachawi. Msemaji wa polisi, ...Rais Samia: Sina kundi katika kufanya uteuzi wa viongozi
Rais Samia Suluhu Hassana amesema hana kundi lolote katika kufanya uteuzi wa viongozi mbalimbali isipokuwa anachotaka ni kuona walioteuliwa wanafanya kazi na ...Rais Samia: Nitahakikisha Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ataendelea kuwawezesha Watanzania kutumia nishati safi ya kupikia ili ifikapo mwaka 2030 zaidi ya asilimia 88 wawe ...