Tag: Tanzania
Kenya: Uchumi mbaya wapelekea baa kubuni mbinu mpya ili vinywaji vinunuliwe
Kutokana na hali ngumu ya kiuchumi nchini Kenya, wamiliki wa baadhi ya baa wamebuni mbinu mpya za kugawa karanga za bure, njugu ...Zanzibar yapiga marufuku wamasai kutembea na silaha
Serikali ya Zanzibar imepiga marufuku wamasi kutembea na silaha za jadi mitaani kwa kile ilchosema kuwa ni kuhatarisha maisha ya watu na ...Rais Samia aalikwa Vatican na Papa Francis
Rais Samia Suluhu anatarajiwa kufanya ziara ya kitaifa Vatican nchini Italia kuanzia Februari 11 hadi 12 mwaka huu kufuatia mwaliko wa Kiongozi ...Malawi yaondoa zuio la mahindi kutoka Tanzania
Serikali ya Malawi imeondoa zuio la mahindi ya Tanzania kuingia nchini humo, zuio ambalo liliwekwa kwa kile walichosema kuwa ni kutokana na ...Tanzania yasitisha safari za Shirika la Ndege la Kenya
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imetangaza kusitisha vibali vya Shirika la Ndege la Kenya (KQ) kuendesha safari za abiria kati ...Wasifu mfupi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi
Dkt. Emmanuel Nchimbi alizaliwa Desemba 24, 1971 mkoani Mbeya. Elimu yake ya Msingi aliianzia jijini Dar es Salaam katika Shule ya Msingi ...