Tag: TCAA Tanzania
Mafunzo urushaji drones kuanza Januari 4, wahitimu kutumia vyeti kuomba leseni
Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (Civil Aviation Training Centre) kilichopo jengo la zamani la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius ...Vitu nane vinavyohitaji upate kibali cha kurusha drone Tanzania
Agosti 24, 2020 Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) ilitoa tangazo la kuwataka watu wote wanaomili ndege ndogo zisizo na rubani ...Tanzania yazuia kampuni 3 za ndege za Kenya kuingia nchini
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imezuia makampuni matatu ya ndege ya Kenya kufanya safari zake nchini, kutokana na mzozo baina ...AMRI: Wamiliki wa ‘drones’ watakiwa kuzisajili, mwisho Agosti 28, 2020
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imewataka wamiliki wa ndege zisizo na rubani (drones) kuhakikisha zimesajiliwa ifikapo Agosti 28, 2020. Taarifa ...Tanzania yalegeza masharti ya safari za ndege nchini
Serikali ya Tanzania imelegeza vizuizi vya safari za ndege kuja na kutoka nchini ambapo sasa baadhi ya makundi ya safari yataruhusiwa kutokana ...Corona: Tanzania yazuia ndege kutua nchini kwa kipindi kisichojulikana
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imezuia ndege za abiria kutua nchini kuanzia Aprili 11 mwaka huu ikiwa ni hatua nyingine ...