Tag: televisheni
Utafiti: Watoto wanaotazama televisheni na simu kwa muda mrefu hatarini kupata magonjwa ya moyo
Watoto wanaotumia muda mwingi wakitazama skrini kama simu au televisheni wapo kwenye hatari kubwa ya kupata magonjwa ya moyo, matatizo ya metaboli ...Vielelezo vya wizi vyaibwa Kituo cha Polisi, Polisi wachangishana kulipa
Polisi wa Kituo Kidogo cha Polisi Uchira, Kata ya Kirua Vunjo Kusini, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wanachangishana kumlipa shilingi 560,000 mkazi ...




