Tag: TFF
CRDB yasema malipo ya bingwa msimu uliopita ilipewa TFF
Benki ya CRDB, ambayo ndiyo mdhamini mkuu wa Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB, imesema malipo yote ya bingwa wa msimu ...Ally Kamwe, Mazanzala waitwa Kamati ya Maadili TFF
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imewapeleka kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Afisa Habari wa Yanga ...TFF yaufungia uwanja CCM Liti, Singida
Kamati ya Leseni za Klabu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeufungia uwanja wa Liti, Singida kutumika kwenye michezo ya ...Waziri Ndumbaro ajiuzulu TFF
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt Damas Ndumbaro amejiuzulu uenyekiti wa Kamati ya Rufani ya Leseni za Klabu ya Shirikisho la ...FIFA yazifungia Fountain Gate na Kitayosce kusajili
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limezifungia klabu za Kitayosce iliyoko ligi kuu ya NBC na Fountain Gate inayocheza ligi ...TFF kuwaongezea adhabu wanaojihusisha na mpira licha ya kufungiwa
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema ni kosa kushirikiana na wadau wa mpira wa miguu ambao tayari wamefungiwa kujihusisha na ...








