Tag: TFF
Fei Toto apeleka TFF ombi kuvunja mkataba na Yanga
Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Feisal Salum (Fei Toto) amefika katika ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) akiwa na ...TFF yatupilia mbali shauri la Fei Toto
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetupilia mbali shauri la mchezaji wa Klabu ...TFF: Fei Toto bado ni mchezaji wa Klabu ya Yanga
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetoa uamuzi kuwa Feisal Salum bado ni ...Yanga yamshtaki Fei Toto TFF
Klabu ya Yanga imepeleka malalamiko kwenye Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) juu ya mchezaji wake, Feisal Salum ambaye alitangaza kuondoka ...Tanzania Prisons na Singida Big Stars zafungiwa kusajili
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imezifungia kusajili klabu za Ligi Kuu ya ...Ufafanuzi wa TFF kuhusu usajili wachezaji wa kigeni
Kutokana na sintofahamu inayoendelea baada ya Klabu ya Yanga kuzuiwa usajili wa mchezaji Tuisila Kisinda na Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), ...