Tag: TRA
TRA yakanusha kutoza kodi kwa kila kitanda nyumba za wageni
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekanusha taarifa kuwa wamiliki wa nyumba za wageni wanatozwa kodi kwa kila kitanda. Badala yake, imeeleza kuwa ...TRA yawataka mawinga kulipa kodi
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara wa kati, maarufu Mawinga, kujitokeza kulipa kodi kama sehemu ya kuchangia maendeleo ya taifa. Ameyasema ...TRA yatangaza nafasi 1630 za kazi
Vacancies_Annoucement_-_Tanzania_Revenue_AuthorityTRA yavunja rekodi, yakusanya kiwango cha juu zaidi 2024/25
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika kipindi cha mwezi Julai hadi Septemba, mwaka wa fedha 2024/25 imefanikiwa kukusanya jumla ya shilingi ...TRA yavunja rekodi, yakusanya trilioni 3.05 Desemba
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika kipindi cha nusu ya kwanza ya mwaka wa Fedha 2023/2024 (Julai hadi Desemba) imefanikiwa kukusanya ...Waliojifanya maafisa TRA Arusha wakamatwa
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kujifanya maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kutapeli ...








