Tag: TRA
TRA yavunja rekodi, yakusanya trilioni 3.05 Desemba
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika kipindi cha nusu ya kwanza ya mwaka wa Fedha 2023/2024 (Julai hadi Desemba) imefanikiwa kukusanya ...Waliojifanya maafisa TRA Arusha wakamatwa
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kujifanya maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kutapeli ...TRA yakusanya trilioni 6.7 robo ya kwanza ya mwaka 2023/24
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2023/24 (Julai hadi Septemba) imekusanya shilingi ...Majaliwa aagiza watumishi wanne wa TRA waondolewe kutokana na dharau
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza Afisa Mfawidhi wa Kituo cha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) cha Mutukula, Feisal Nassoro na wenzake watatu ...TRA yatangaza mabadiliko ya viwango vya utozaji kodi ya majengo
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) imetangaza mabadiliko ya Sheria ya Serikali za Mitaa ya ...Waziri Mkuu aiagiza TRA kusitisha kikosi kazi cha kukusanya kodi Kariakoo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kusitisha mara moja utaratibu wa kikosi kazi (Task Force) kwenye makusanyo ya ...