Tag: TRA
Stika za TRA kwenye vinywaji: Wabunge walalamikia kampuni ya SICPA
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufu ‘Musukuma’ ameihoji Serikali juu ya kuendelea kuwepo kwa kampuni inayoendesha mradi wa Stempu za Kodi ...TRA: Tozo ya kitanda nyumba za kulala wageni sio utaratibu mpya
Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo amesema utaratibu wa ukusanyaji wa kodi ...Rais Samia atengua uamuzi wa TRA kuhusu Machinga kutumia EFD
Wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama Machinga wamemsifu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na uamuzi wake wa kusitisha utaratibu uliotangazwa na Mamlaka ...TRA: Hatukusanyi kodi kwa mabavu tena
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Uledi Mussa amesema kitengo cha ‘task force’ kilichokuwapo huko nyuma kimeondolewa na sasa ...Ufafanuzi wa TRA kuhusu kukamatwa mzigo wa Mama Bonge wa Kariakoo
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema tuhuma zilizotolewa kwa Serikali kuwa ilikuwa inakusanya kodi kwa kutumia mabavu eneo la Kariakoo kwa mfanyabiashara ...TRA kutaifisha magari yenye namba zisizotambulika
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa onyo kwa watumiaji wa namba za usajili wa magari ambazo hazitambuliki na TRA au taasisi nyingine ...