Tag: TRC
TRC yaongeza ratiba ya treni mikoa mitatu
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka kutakuwa na ongezeko la safari za treni kuelekea mikoa ya ...TRC: Kusimama kwa treni ya mchongoko ilikuwa ni hujuma
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeutaarifu umma kupuuza taarifa zinazosambazwa na baadhi ya watu kuhusu kusimama kwa treni za EMU, Electric Multiple ...Treni ya abiria yapata ajali Kigoma na kujeruhi 70
Treni ya abiria namba Y14 ikiwa na kichwa cha treni namba 9002, mabehewa 12 ya abiria, behewa moja la vifurushi (parcel) na ...TRC yaomba radhi kwa treni kuchelewa kutokana na hitilafu
Shirika la Reli Tanzania (TRC) imeomba radhi kwa abiria waliosafiri kutoka Dodoma saa 2: 15 usiku kuelekea Dar es Salaam Agosti 01, ...TRC yaomba radhi treni ya umeme kuzima kwa saa mbili
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeomba radhi kufuatia hitilafu ya umeme iliyojitokeza katika ya stesheni ya Kilosa na Kidete na kusababisha treni ...