Tag: Trump
Trump afuta vibali vya usalama kwa Biden, Kamala na Hillary Clinton
Rais Donald Trump ameondoa vibali vya usalama na upatikanaji wa taarifa za siri kwa wapinzani wake wa zamani, wakiwemo Kamala Harris, Hillary ...Trump asitisha misaada ya kijeshi kwa Ukraine
Rais wa Marekani, Donald Trump amesitisha misaada yote ya kijeshi kwa Ukraine kufuatia kutokuelewana kwake na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky wiki ...Rais Trump asaini amri inayoiwekea vikwazo mahakama ya Uhalifu (ICC)
Rais wa Marekani, Donald Trump ametia saini amri inayoiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), akiituhumu kwa vitendo vinavyokiuka sheria na ...Rais Trump afikishwa mahakamani, akana mashitaka yote
Rais Mstaafu wa Marekani, Donald Trump amefikishwa katika mahakama ya jinai ya Manhattan kujibu mashitaka yanayomkabili . Trump amekuwa Rais wa kwanza ...