Tag: Tuhuma
Clemence Mwandambo ashikiliwa kwa tuhuma za uchochezi na uchonganishi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema linamshikilia mwalimu wa shule ya Awalii, Clemence Kenani Mwandambo, mkazi wa Uzunguni A mkoani humo ...Mbaroni kwa tuhuma za mauaji ya mama wa kambo
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Tatuzo Yohana Mzumbwe, mkazi wa Masoko mkoani humo kwa tuhuma za mauaji ya mama yake wa ...Watano wakamatwa kwa tuhuma za utekaji Kenya
Maafisa wa upelelezi (DCI) katika Kaunti ya Kiambu wamewakamata watu watano wanaoshukiwa kuhusika na tukio la utekaji nyara huko Ruaka nchini Kenya. ...Polisi yamtaka Polepole afike Ofisi ya DCI kutoa ushahidi wa tuhuma alizotoa
Jeshi la Polisi limemwelekeza aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole afike katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya ...Askari mgambo washikiliwa kwa tuhuma za wizi
Askari mgambo wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Lindi kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa mali mbalimbali, zikiwemo za raia ...Polisi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji Dodoma
Mkazi wa Kitongoji cha Mgomwa, Kata ya Matumbulu jijini Dodoma, Frank Sanga (32), amefariki dunia baada ya kudaiwa kupigwa risasi na askari ...







