Tag: Tuhuma
Ajifungua mahakamani baada ya kuachiwa kwa tuhuma za mauaji
Virginia Maingi amejifungua katika mahakama ya Kithimani, Kaunti ya Machakos nchini Kenya baada ya mahakama hiyo kumwachia huru kwa tuhuma za mauaji. ...Mtoto ashikiliwa kwa tuhuma za kumlawiti mwenzake Njombe
Kamanda wa Polisi mkoani Njombe, Mahamoud Banga amesema Jeshi la Polisi mkoani humo linamshikilia mtoto wa miaka 12 kwa tuhuma za kumlawiti ...Watu 8 wakamatwa kwa tuhuma za kumuua Mgambo Kilimanjaro
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu nane kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Farijara Hamis Mboya, maarufu kwa jina la ...Mtoto wa miaka 14 ashikiliwa kwa tuhuma za kubaka na kulawiti watoto
Jeshi la Polisi linamshikilia mtoto wa miaka 14 (jina linahifadhiwa) mkazi wa Kijiji cha Mnete, kilichopo Kitongoji cha Chiano, Kata ya Nalingu, ...Msichana wa kazi ashitakiwa kwa tuhuma za kumuua bosi wake
Msichana wa miaka 15, anayejulikana kwa jina la Sarah Mwendesha amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ilemela kwa tuhuma ...Tuhuma za rushwa zapelekea chaguzi CCM kuahirishwa
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amesema chama hicho kimesitisha uchaguzi wa nafasi ya Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya ...