Tag: Tume ya Uchaguzi
Tume ya Uchaguzi yamtaka Mpina asirudishe fomu ya kugombea Urais wa Tanzania
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimepokea barua kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ikielekeza kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia ...Tume ya Uchaguzi yajibu madai ya Polepole kuhusu mfumo wa uchaguzi
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekanusha taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba mfumo wa taarifa za uchaguzi unaotumiwa na ...Tume ya uchaguzi yatangaza uchaguzi wa madiwani kwenye Kata 23
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza uchaguzi mdogo wa madiwani kwenye kata 23 za Tanzania Bara utakaofanyika Machi 20, mwaka huu. Taarifa ...NEC yakanusha uwepo wa kura feki Kawe
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa madai yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusj kukamatwa kwa kura feki si katika majimbo ...Maalim Seif afungiwa kufanya kampeni kwa siku tano
Kamati ya Maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemfungia mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, Seif Sharif Hamad kutofanya kampeni kwa ...







