Tag: Tume ya Uchaguzi
NEC yaitangaza kampuni inayochapisha karatasi za kupigia kura za Uchaguzi Mkuu 2020
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii ambazo si za kweli kuhusu mchakato wa kumpata mzabuni ...Ufafanuzi wa NEC kuhusu adhabu aliyopewa Tundu Lissu
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa haijatoa adhabu kwa mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu bali adhabu hiyo ...Rais Magufuli: Wengine mnaweza msichukue fomu muamue Magufuli amepita
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufulia amesema kuwa wagombea wa vyama vingine wanaweza kuamua kutokuchukua fomu za kugombea Urais wa Tanzania, badala yake ...Rais Magufuli awataka wanasiasa kutotumia matusi na kejeli kwenye uchaguzi
Vyama vya Siasa nchini vimehakikishiwa uwepo wa uhuru na haki sawa kwa vyama vyote vitakavyoshiriki katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka ...NEC: Spika Ndugai hakututaarifu kuhusu Jimbo la Ndanda kuwa wazi
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na mvutano kuhusu uhalali wa ubunge wa Cecile Mwamba katika Jimbo la Ndanda, Mtwara, baada ya kujivua ...







