Tag: tunachunguza
Polisi: Tunachunguza raia wa kigeni kukamatwa na mifuko iliyojaa fedha
Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha kuanza uchunguzi wa kina kufuatia kusambaa kwa picha mjongeo inayomwonesha raia wa kigeni mwenye asili ya China ...Polisi: Tunachunguza mwimbaji wa Injili kudaiwa kuchukuliwa na wasiojulikana Geita
Jeshi la Polisi mkoani Geita limesema linachunguza na kufuatilia kwa ukaribu tukio la mwimbaji wa nyimbo za injili, Elisha Juma, mkazi wa ...Polisi: Tunachunguza tukio la mtia nia kudaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana Tarime
Jeshi la Polisi limesema limeanza kufanya uchunguzi tukio la mtia nia wa udiwani kata ya Sirari kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Sinda ...Polisi: Tunachunguza kubaini kwanini Mwanasheria Lusako alikimbia wakati si yeye tuliyemfuata
Kufuatia taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inayodai Askari Polisi kuvamia ofisi za Taasisi ya Reach Out Tanzania iliyopo eneo la Makumbusho ...Mchengerwa: Tunachunguza sakata la Mwakinyo kupoteza pambano Uingereza
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amesema wizara bado inaendelea kuchunguza sakata la Hassan Mwakinyo baada ya kupoteza pambano lake ...







