Tag: uchaguzi
Jeshi la Polisi lamshikilia Mbowe kwa tuhuma za kukiuka taratibu za kampeni
Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe kwa tuhuma za kukiuka utaratibu wa ...Serikali: Wananchi milioni 26.7 wamejiandikisha uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema jumla ya wapiga kura 26,769,995 wamejiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za ...Tume ya uchaguzi yatangaza uchaguzi wa madiwani kwenye Kata 23
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza uchaguzi mdogo wa madiwani kwenye kata 23 za Tanzania Bara utakaofanyika Machi 20, mwaka huu. Taarifa ...NEC yateua wagombea 58 kwenye uchaguzi wa Ubunge na Udiwani mwezi ujao
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeteua wagombea 58 kutoka vyama 17 vya siasa kuwania nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Mbarali ...CHADEMA yatangaza kutoshiriki uchaguzi wa madiwani
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakitashiriki katika uchaguzi mdogo wa madiwani kwenye Kata 14 zilizopo katika Halmashauri 13 nchini ambazo ...Tuhuma za rushwa zapelekea chaguzi CCM kuahirishwa
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amesema chama hicho kimesitisha uchaguzi wa nafasi ya Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya ...