Tag: uchaguzi mkuu
Serikali yapunguza 50% ya ada za tozo za leseni za maudhui
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amesema Serikali inakwenda kuondoa 50% ya ada za tozo mbalimbali za leseni kwenye ...NEC yataka wanaopita bila kupingwa wapigiwe kura
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imependekeza wagombea ubunge na udiwani wanaopita bila kupingwa katika chaguzi wapigiwe kura. Pendekezo hilo limetolewa na ...Muuguzi Arusha asimamishwa kazi kwa kuigiza kuchoma chanjo ya UVIKO-19
Wizara ya imeagiza kusimamishwa kazi kwa miezi mitatu Muuguzi Msajiliwa, Scholastica Kanje anayefanya kazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru, Arusha, ...Dkt. Tulia: Milioni 50 kila kijiji haipo, Rais Samia hakuahidi
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amewataka wabunge kutombebesha Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan mzigo ambao hastahili kwamba ...ACT-Wazalendo yataka mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Zanzibar
Chama cha ACT-Wazalendo kimetaka kufanyika mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Zanzibar ili kurejesha imani ya wananchi juu ya uwepo wa uchaguzi huru ...NEC: Wanasiasa watakaoshindwa kuthibitisha madai ya vituo hewa kuchukuliwa hatua
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema itawachukulia hatua stahiki wanasiasa na wagombea wanaodai kuwepo kwa vituo na wapigakura hewa endapo watashindwa ...