Tag: uchaguzi mkuu
Jeshi la polisi lawakamata waliosababisha mauaji Kataya, Mtwara
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro amesema kuwa watu waliofanya mauaji na uhalifu mwingine katika Kijiji cha Kitaya mkoani ...Mufti wa Tanzania: Msichague viongozi kwa mrengo wa dini
Siku tano kabla ya Watanzania kufanya uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani, Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuber amewataka waumini wa dini ...ACT-Wazalendo ‘yamruka’ Bernard Membe
Chama cha ACT-Wazalendo kimeeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na mgombea Urais wa chama hicho, Bernard Membe jana wakati akizungumza na waandishi wa ...Mgombea wa upinzani Guinea ajitangaza kushinda Urais
Mgombea wa upinzani nchini Guinea, Cellou Dalein Diallo amejitangaza kuwa ameshinda uchaguzi mkuu wa Rais uliofanyika Jumapili. Licha ya kuwa matokeo rasmi ...Rais Magufuli atangaza siku tatu za kuombea COVID19 iondoke Kenya
Rais Dkt. Magufuli ambaye pia ni mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amewaomba Watanzania kutumia siku tatu kuanzia leo ...Polisi Dar wasitisha kumhoji Tundu Lissu
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesitisha barua ya kumuita mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu. Akitoa taarifa hiyo, ...