Tag: uchaguzi mkuu
Polisi Dar wasitisha kumhoji Tundu Lissu
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesitisha barua ya kumuita mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu. Akitoa taarifa hiyo, ...Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt. Mahera atumiwa barua ya vitisho
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Charles Mahera amesema licha ya mafanikio makubwa ambayo taasisi hiyo inajivunia ...Hashim Rungwe asema ukata unakwamisha kampeni za vyama vya siasa
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema kuwa vyama vya siasa vinakabiliwa na ukata, hali inayopelekea vyama hivyo kushindwa kufanya kampeni kama ...Nchi 15 kutuma waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania
Nchi 15 kupitia Balozi zao hapa nchini zimeruhusiwa kuleta waangalizi wa Kimataifa katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba, 2020 baada ya ...Wagombea wa CCM watakiwa kuomba ruhusa kabla ya kuondoka majimboni
Wakati vyama mbalimbali vikiendelea na kampeni za kunadi sera zao kwa wananchi kuelekea Oktoba 28, 2020, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepiga marufuku ...Magufuli: Msichague wagombea ambao hawatimizi ilani ya CCM
Mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amewataka Watanzania kutomchagulia watu ambao hawatatimiza ilani ya chama ...








