Tag: Uchumi
Benki ya Dunia yapunguza makadirio ukuaji wa uchumi wa Kenya 2024
Benki ya Dunia imepunguza makadirio ya ukuaji wa uchumi wa Kenya kwa mwaka 2024 hadi asilimia 4.7 kutoka asilimia 5.0 ya awali, ...Fiyao: Uchumi wa Tanzania unakua kwenye makaratasi au mifukoni?
Mbunge wa Viti Maalum, Stella Fiyao ameitaka Serikali kuwafafanulia Watanzania wanamaanisha nini wanaposema kwamba uchumi wa Tanzania umekua kwa sababu hali mitaani ...Uwanja wa ndege wa Iringa kukuza utalii na ajira
Rais Samia Suluhu Hassan amewahimiza wananchi wa Iringa kujiandaa na ajira nyingi zitakazotolewa katika uwanja wa ndege wa Iringa pindi utakapokamilika. Ameyasema ...Rais Samia: Uchumi wa Tanzania unaimarika
Rais Samia Suluhu Hassan amesema licha ya hali ya uchumi kushuka wakati anaingia madarakani kutokana na janga la UVIKO 19 kuathiri uchumi ...Tanzania itakavyofaidika kwa Rais Samia kurekodi kipindi cha The Royal Tour
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameanza kurekodi kipindi maarufu cha ‘The Royal Tour’ kwa lengo la kuitangaza Tanzania hasa sekta za utalii, ...