Tag: Uganda
Waandishi wa Habari 18 washambuliwa na wanajeshi Uganda
Waandishi wa habari 18 wamedai kushambuliwa vikali na wanajeshi wa Uganda pamoja na maafisa wa kikosi cha kupambana na ugaidi katika eneo ...Watu 12 waripotiwa kuambukizwa Ebola Uganda
Shirika la Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (CDC) limethibitisha ongezeko la visa 12 vya ugonjwa wa Ebola katika mikoa miwili tofauti nchini ...Uganda yathibitisha uwepo wa ugonjwa wa Ebola jijini Kampala
Wizara ya Afya nchini Uganda imethibitisha kuzuka kwa ugonjwa wa Ebola katika Mji mkuu Kampala, huku mgonjwa wa kwanza aliyethibitishwa akifariki kutokana ...Mwanariadha wa Uganda achomwa moto na mpenzi wake
Mwanariadha wa nchini Uganda, Rebecca Cheptegei (33) amelazwa katika hospitali moja nchini Kenya, baada ya kudaiwa kumwagiwa petroli na kuchomwa moto na ...Mganga wa kienyeji apatikana na mafuvu 24 ya binadamu nchini Uganda
Mwanaume mmoja nchini Uganda anayetambulika kwa jina la Ddamulira Godfrey anashikiliwa na polisi baada ya kupatikana na mafuvu 24 ya vichwa vya ...Marekani yamwekea vikwazo Spika wa Bunge la Uganda na mumewe
Marekani imewawekea vikwazo maafisa watano wa Uganda, akiwemo Spika wa Bunge la nchi hiyo, Anita Among, mumewe na Naibu Mkuu wa zamani ...