Tag: Uganda
Wafanyabiashara wa mafuta Kenya hali tete baada ya Uganda kuichagua Bandari ya Tanga
Wafanyabiashara wa mafuta nchini Kenya wako katika hali mbaya baada ya Uganda kusisitiza msimamo wake wa kuanza mazungumzo na Tanzania ili kuagiza ...Ugonjwa usiojulikana waua 12 Uganda
Wataalamu wa afya nchini Uganda wanachunguza mlipuko wa ugonjwa usiojulikana ambao umeua takribani watu 12 katika kipindi cha wiki mbili zilizopita katika ...Marekani imefuta Visa ya Spika wa Bunge la Uganda kisa Sheria ya Kupinga Ushoga
Marekani imefutilia mbali visa ya Spika wa Bunge la Uganda, Anita Among huku mbunge, Asuman Basalirwa akisema yeye ndiye mwathirika wa kwanza ...Tanzania, Kenya na Uganda zawania uwenyeji AFCON 2027
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania ...Museveni akataa kusaini muswada wa mapenzi ya jinsia moja, aurudisha bungeni
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amekataa kutia saini muswada wa sheria dhidi ya mapenzi ya jinsia moja unaotoa adhabu ya kifo katika ...Uganda: Wanandoa wa Marekani wakamatwa kwa kumtesa mtoto wa kuasili
Mamlaka nchini Uganda imewashitaki wanandoa wawili wenye asili ya Marekani kwa kosa la kumtesa mtoto wao waliomuasili (adopt), mwenye umri wa miaka ...