Tag: Uganda
Uganda yapinga sheria ya kufanya chanjo kuwa lazima
Sheria mpya iliyopendekezwa nchini Uganda ya kufanya chanjo kuwa ya lazima kwa watu wazima wote endapo kutatokea mlipuko wa ugonjwa mkubwa, imekataliwa ...Museveni asema Uganda ipo uchumi wa kati, apuuza takwimu za Benki ya Dunia
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amekanusha ripoti ya hivi karibuni ya Benki ya Dunia, ambayo iliitaja nchi ya Uganda kuwa bado ni ...Kiswahili chatangazwa lugha rasmi Uganda
Baraza la Mawaziri la Uganda limeridhia uamuzi wa viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kutumia Kiswahili kama lugha rasmi. Akizungumza ...Rais Museveni awalaumu viongozi waliopita kwa umaskini Uganda
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewalaumu viongozi wa zamani na wakoloni kwa umaskini wa Uganda na kusema walitia sumu akili za wakulima ...Mwanamke aliyejifungua atolewa figo kimakosa badala ya Uterasi
Polisi wilayani Mubende nchini Uganda wanachunguza madaktari katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa baada ya kudaiwa kutoa figo ya mama aliyejifungua wakati ...Uganda: ‘Influencers’ kwenye mitandao ya kijamii kutozwa kodi
Mamlaka ya Mapato Uganda (URA) inatarajia ifikapo Juni 1, 2022 itakuwa na sera ya miamala ya kibishara inayofanyika kupitia intaneti, kama vile ...